July 02, 2009

Warefu wooote sasa kikapu.

Huyu nae kama Hashim Thabit. Baada ya hashim kuwini katika mpira wa kikapu katika ligi ya NBA Marekani sasa walio na kimo chake wameanza kijitokeza kucheza kikapu.

1 comment:

  1. AnonymousJuly 06, 2009

    Mbona anaonekana mzee umri wake ushapita huyu! amechelewa!

    ReplyDelete