July 02, 2009

Father Kidevu asajiliwa M Pesa

Usajili Maalum kwa mtu maalum.
Mkurugenzi Masoko wa Vodacom Epraim Mafuru akimshawishi Father Kidevu kujisajili na huduma ya M Pesa pamoja na kufanya usajili wa namba yake ya simu.
Mafuru amefanikiwa na sasa anaanza kujaza fomu maalum ya M Pesa. Kidevu akitia saini fomu hiyo ya usajili. Kidevu akielekezwa namna ya kutumia huduma ya M Pesa.
Kidevu akifuata maelekezo ya matumizi ya M Pesa.

Baada ya kukabidhiwa hati yake ya M Pesa, alisubiri kupata ujumbe wa kusajiliwa.
Akiweka Fedha katika acount yake ya M Pesa ambapo sasa ataweza kununua muda wa maongezi kwa njia ya M Pesa na kutuma fedha kwa ndugu na jamaa.

No comments:

Post a Comment