KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 03, 2009
Mke wa Rais Kikwete
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Sirte tayari kuhudhuria kikao maalumu cha kamati ya Umoja wa Wake wa Marais wa Afrika dhidi ya Ukimwi OAFLA, mjini Sirte Libya.
No comments:
Post a Comment