July 03, 2009

Fadhili apata jiko-Shufaa apata gesi

Kambi ya Ukapera ya magazeti ya Habarileo na Dailynews imepata pigo baada ya Chipukizi wake Fadhili Akida kupata mwenza wake usiku wa kuamkia leo baada ya kufunga ndoa na Shufaa Kombo Suweid katika msikiti wa Mwinyimkuu, Magomeni, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment