KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 28, 2009
Meli yawaka moto Dar es Salaam
Meli ya Mizigo inayodaiwa kuwa ni ya Mfanyabiashara Bakhresa wa Dar es Salaam, Mv Pemba ikiwaka moto asubuhi hii katika mwambao wa Bahari ya Hindi eneo la Bandari zinapoegesha meli za Uvuvi na karibu kabisa na Gati za Boti za Zanzibar. Jitihada za vikosi vya Zimamoto vya Jiji na Bandari bado zinaendelea kuinusuru Meli hiyo.
No comments:
Post a Comment