July 15, 2009

Kikwete afungua MWIA leo

Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari wanawake Tanzania (MEWATA) Dr. Marina Njelekela(kulia) akimkaribish Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Salama Kikwete kufungua mkutano Mkuu wa tano wa Kimataifa wa Madaktari wanake (MWIA) Dar es Salaam Leo.

No comments:

Post a Comment