July 15, 2009

Fundi Baskeli

Huyu si fundi bali ni mtoto ambaye alikuwa akifanya michezo yake katika baiskeli iliyolazwa chini kando ya barabara ya Morogoro eneo la Ubungo Dar es Salaam.
Mtoto akihangaika kunyanyua baikeli iliyolazwa chini kando kando ya barabra ya Morogoro eneo la Ubgo Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment