KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
March 31, 2009
Zawadi ya Swala
Gavana Generali wa Australia Quentine Bryce na Rais Jakaya Kikwete wakiangalia kwa makini zawadi ya kichwa cha swala aliyompatia mgeni huyo Ikulu Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment