KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
March 31, 2009
Vita vya Mgambo na Machinga Dar es Salaam.
Machinga wakikamatana na Mgambo Kanzu (aliyevalia fulana ya bendera ya taifa) katikati ya jiji la Dar es Salaam. Vijana hao huuza nguo nyakati za jioni stendi ya Posta.
No comments:
Post a Comment