January 05, 2009

Kwaheri mama Green

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taaisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Salma Kikwete akimpa zawadi ya picha Mke wa Balozi wa Marekani Sue Green wakati wa hafla ya kumuaga mke wa Balozi huyo .

1 comment:

  1. hiyo si picha nzuri ina onyesha mwanamke wa kitanzania anavyo dhalilishwa

    ReplyDelete