January 05, 2009

Diamond Musica haoooooooooooo

Wanenguaji wa Bendi ya Diamond Musica wakitumbuiza katika moja ya matamasha yao yaliyodhaminiwa na Tigo.

1 comment:

  1. Hizi nguo za ROBO UCHI mbona wanaendelea nazo jamani?

    Hii Serikali iko wapi jamani?

    ReplyDelete