KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
December 06, 2008
Sisi ndio tumemfundisha Rais kusoma
Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Salma wakipiga picha ya pamoja na walimu waliomfundisha Rais Kikwete alipokuwa shule ya msingi Lugoba mwaka 1961. Kushoto ni Mwalimu Kunambi Kunambi na Edward Mazuma wakazi wa Kiswila Matombo Morogoro.
kumbe krais wetu ni wa siku nyingi tokea 196 itakuwa aliwaona wanafunzi wa yesu.
ReplyDelete