December 06, 2008

LIKIZO TIME KATIKA PICHA

Mkali toka Jamaica Tentemento akifanya makamuzi
Joe Thomas akiwa jukwaani

Joe akisalimia mashabiki kwa kushikana nao mkono.



Mashabiki wakijadili burudani mwenye RED ni msanii wa maigizo alieigiza kwa jina la NURU katika mchezo wa Wizara ya Afya "Hukumu ya NURU". Huhu dada mwingine alibahatika kupata taulo la Tentomento.


Kila mtu alitamani kupata kumbukumbu ya tukio hilo hata kama ni kwa simu


Mzee mzima akicharaza mpini Jukwaa la Likizo TIME.

No comments:

Post a Comment