Wananchi wa Mkoa wa kigoma wakiwa mbele ya bango lenye ujumbe wa kujikinga na ukimwi kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini kigoma wakati wa maazimisho ya kilele cha siku ya ukimwi Duniani, ambapo hapa nchini yamefanyika kitaifa mkoani humo leo kauli mbiu ya mwaka hu ni Ongoza,Wezesha, tekeleza mapambano zidi ya ukimwi.
Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akilihutubia Taifa katika maazimisho ya siku ya ukimwi Duniani yaliyofanyika leo katika uwa nja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma. Kauli mbiu ya mwaka huu ni Ongoza Wezesha tekeleza mapambano zidi ya ukimwi.
Wananchi wa Mkoa wa kigoma wakiwa mbele ya bango lenye ujumbe wa kujikinga na ukimwi kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini kigoma wakati wa maazimisho ya kilele cha siku ya ukimwi Duniani, ambapo hapa nchini yamefanyika kitaifa mkoani humo leo kauli mbiu ya mwaka hu ni Ongoza,Wezesha, tekeleza mapambano zidi ya ukimwi.
No comments:
Post a Comment