December 01, 2008

Balozi Makoto Ito wa Japan amaliza muda wake TZ

Waziri Mkuu , Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya ngozi ya Pundamilia Balozi wa Japan nchini aliyemaliza muda wake, Makoto Ito ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam December 1, kuaga.

No comments:

Post a Comment