![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STaVE7vtO2I/AAAAAAAABDY/4qG6xBH9xkw/s400/7.JPG)
Aliyekuwa Mwanachama wa siku nyingi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Makapera Tanzania, ambaye pia alikuwa ni Mweka hazina wa Tawi dogo la Makapera TSN idara ya Matangazo, Vitalis Alfred Kisandu akipunga mkono na Mkewe kipenzi Tumaini Michael Mgonzo kwa waalikwa waliohudhuria sherehe yao ya harusi hivi karibuni.
"Jamani tunashukuru kwa kuja kwenu katika tafrija hii"
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STaVEcCHdpI/AAAAAAAABDI/51powCzkeL4/s400/5.JPG)
"Vitalisi nakuvish petee hii iwe ukumbusho wa ndoa yetu popote uendako"
![](//3.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STaVEvW4W7I/AAAAAAAABDQ/4CxuLx3b-nI/s400/6.JPG)
Wapambe wakiwa katika picha ya pamoja
![](//3.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STaUrnVopTI/AAAAAAAABDA/ODAEgnQho1M/s400/4.JPG)
Picha ya pamoja kati ya Maharusi na Wafanyakzi wote wa TSN waliohudhuria sherehe ya harusi ya Vitalis na Tumaini
![](//3.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STaUrYdhLAI/AAAAAAAABC4/X454mTiwJgU/s400/3.JPG)
Picha ya pamoja ya kitengo cha matangazo na maharusi
![](//4.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STaUrW4aPwI/AAAAAAAABCw/sFMhOGBKyR8/s400/2.JPG)
Bwana Harusi Vitalis akiselebuka na wafanyakazi wenzake wa kitengo cha Matangazo Daily News na HabariLeo
![](//1.bp.blogspot.com/_mqjENGefutg/STaUXibSYRI/AAAAAAAABCo/O-nBCgXSwRY/s400/1.JPG)
Bibi Harusi Tumaini akisalimiana na wana TSN waliofika katika shughuli yake.
Ee bwana Mrocky ee
ReplyDeleteUnaweza kunipatia kontakt za huyo dada kwenye picha ya 4 toka juu, wa pili toka kushoto anaejitengeneza nywele?