December 18, 2008

Polis atimuliwa katika nyumba kwa kuuza mihogo

Askari Polisi akiwa nje ya nyumba waliyokuwa wakiishi Polisi Ufundi Barabara ya Kilwa Dar es Salaam jana baada ya uongozi wa kambi hiyo kutupia nje mumewe vitu hivyo kwa kile kilichodaiwa biashara ya mihogo inayofanywa na mkewe kambi hapo.

No comments:

Post a Comment