Msemaji wa jeshi la Polisi, Kamisha Msaidizi Abbdallah Msika akitoa heshima kwa mwili wa marehemu
Mke wa Marehemu Jane akitoa heshima kwa mumewe kabla ya kusafirisha kwenda Kibaha kwa mazishi yatakayo fanyika 20-12-2008.
KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
Pole kaka Mroky kwa kumpoteza rafiki yako kipenzy nilisikia huzuni maneno uliyoandika mlipokutana tarehe09/12/2008 hakika huna budi kuyasema hayo ila zaidi nikumwombea Mjane maana ndo ni changa sana ili apate nguvu,kibinadamu tunaon aMungu akamchukua bado mdogo miaka 32 tu ila Mungu amemtaka zaidi.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
ReplyDelete