KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
December 08, 2008
kazi ni Kisomi zaidi
Mfanyakazi wa Tanzania Standard Newspaper Ltd Rita Semizigi (katikati) akiwa na wahitimu wenzake wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliotunukiwa Masters in Business Administration katika mahafali ya 38 ya UDSM juzi.
No comments:
Post a Comment