December 08, 2008

baba na mwana

Rais Jakaya Kikwete akiongozana na mtoto wake Khalfan Kikwete kutoka katika Msikiti wa Al-Farouq Kinondoni baada ya kuhudhuria ibada ya Id el Haj iliyofanyika kitaifa msikitini hapo jana

No comments:

Post a Comment