November 25, 2008

NAFGEM katika maonyesho ya Azaki Dar Es Salaam

TUSIWAKEKETE WATOTO WETU WALA KUOA WAKE WALIOKEKETWA NI HATARI!Muelimishaji kutoka Mtandao wa Kuelimisha Jamii juu ya madhara ya Tohara kwa wanawake (NAMFGEM) ya mjini Moshi, Severa Masawe akitoa maelezo juu ya zana zilizosalimishwa na mangaliba walio kuwa wakikeketa wasichana vijinini kwa wakazi wa Dar es salaam waliotembelea banda lao katika maonyesho ya azaki katika viwanja vya Mnazi Mmoja jana.

1 comment:

  1. Jamani Ukeketaji bado upo? Aibu sana kwa taifa

    ReplyDelete