November 25, 2008

Ajali Mbaya ya Sekenke katika picha

Wakazi wa Singida wakiwa katika eneo la ajali ya basi lililouwa abiria 17 jana.
Muuguzi akiweka jina katika moja ya maiti

Polis akimuweka sawa mmoja wa marehemu.

Ajali hii ilitokea jana baada ya basi la Zuberi T 677AGJ lililokuwa likitokea Dar es Salaam kupindika katika mlima Senkenke mkoani Singida kufuatia kukosa breki katika mteremko mkali. Basi hilo liliparamia mlima na kisha kuanguka mtoni umbali wa mita 50 kutoka mlimani.

No comments:

Post a Comment