Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Athuman Mdoe ( aliyetangulia mbele) akiwaonyesha baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Morogoro baadhi ya nyumba zilizochomwa moto na wafugaji wa kimasai wakati wa mapigano ya pande hizo yaliyotokea hivi karibuni katika kitongoji cha KikengeWilayani Kilosa Mkoani Morogoro.
No comments:
Post a Comment