October 29, 2008

Maandamano ya wahariri katika picha



Maandamano ya Wahariri na waandishi wa vyombo vya habari Tanzania kushinikiza serikali kuliachia huru gazeti la mwanahalisi lililofungiwa kwa kipinfdi cha miezi mitatu.

No comments:

Post a Comment