KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 21, 2008
Wanyange wa Miss Utalii 2008
Baadhi ya wanyange wanaowania taji la Miss Utalii 2008 wakiwa katika picha kambini kwao.
Sasa we Mroky unasemaje tu "wakiwa...kambini kwao" bila kutuamnbia hiyo kambi yenyewe iko wapi?
ReplyDeleteHujui wengine hapa tunataka kujaribu bahati zet?
We vipi wewe!?!