KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
August 01, 2008
Wanafunzi Dar waandamana
Baadhi ya picha mbalimbali zikionyesha maandamano ya wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi na sekondari walioandamana kupinga ongezeko jipya la nauri kutoka sh 50 hadi 100 ilianza rasmi Agosti 1.
No comments:
Post a Comment