August 01, 2008

Celtel wabadili jina

Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa kampuni ya Simu za Mkononi ya Zain (zamani Celtel) kwa Kanda ya Afrika Mashariki, Bashar Arafeh akizungumza na waandishi Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi rasmi wa jina hilo.

No comments:

Post a Comment