Vodacom Miss Tanzania 2008 Nasreem Karim,22, (katikati) akipunga mkono na washindi wenzake mara baada ya kutawaza kuwa washindi saa 12:50 Agosti 4 2008 katika viwanja vya Leders Jijini Dar es Salaam. Kulia ni mshindi wa tatu Pendo Laizer na mshindi wa pili Sylvia Mashuda. Burudani ya Chura kutoka kwa Wabogojo
naona tatizo lake la mikonoz lilikuwa limeanza na hapo alikuwa anahaha kutafuata mapozeo
ReplyDeleteWabogojo kweli kaja na mpya. Lakini jamani maonesho ya mwaka huu walikuwa wasanii sana Lady J Dee hayupo yule Mzausi anaimba sauti yake walinibore mm
ReplyDeleteWarembo wa mwaka huu ilikuw ili mradi siku ipite hakuna kitu hapo kabisa. Hawajiamini kabisaa
ReplyDeleteKujibu maswali zero
Watu wengine jamani WAZUSHI!
ReplyDeleteAfadhali Mrocky umemtoa Michuzi yuko ndani humo maana jana kwenye blog za "Global Publishers" na "Utamu" watu walikoment eti Michuzi kakosa Kiingilio ndio mana hatoi "mitundiko laivu" kama walivyokuwa wanafanya hao GP na Utamu.
Mweeh!