August 01, 2008

Jangwani watoa msaada Mahabusu

Wanafunzi wa shule ya Sekondari Jangwani jijini Dar es Salaam wakikabidhi msaada wa vitu mbalimbali kwa mlezi wa Mahabusu ya watoto Abdul Mwinyi.

No comments:

Post a Comment