August 19, 2008

Rais Levy Mwanawasa afariki dunia

Rais wa Zambia , Levy Mwanawasa amefariki dunia akiwa hospitali mjini OParis Ufaransa. Mwanawasa alikuwa akipata matibabu hayo tangu mwezi june alipopatwa na kiharusi. Hali ya Mwanawasa ilibadilika ghafla na kuwa mbaya zaidi jana Jumatatu. Bw Mwanawasa aliingia madarakani mwaka 2001 na huu ulikuwa ni muhula wake wa pili madarakani.

No comments:

Post a Comment