August 11, 2008

Mchungaji Lwakatare

Mchungaji Israel Lwakatare, ambaye anatuhumiwa kujipatia fedha kiasi cha sh milioni 38 kwa njia ya udanganyifu kutoka kwa wanachama 254 alifikishwa jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Mkoa wa Morogoro kusomewa mashitaka.

No comments:

Post a Comment