July 16, 2008

Watalii washika kalamu

Waandishi wa Habaritoka vyombo mbalimbali wakiwa katika Bonde la Hifadhi ya Oldupai Gorge Arusha. Toka kushoto Veronica Mheta-HabariLeo, Tausi Mbowe-Mwananchi, Joseph Zablon-Tanzania Daima, Celina Wilson-Uhuru na Romana Mallya-Nipashe.

1 comment:

  1. AnonymousJuly 21, 2008

    ebwana wee!!! namuoana bwana Zablon akiwa amesendiichiwa na mademu bomba. Sasa shemeji akioana itakuwa vipi?

    ReplyDelete