July 16, 2008

Mombo ya Nyama Choma

Kama unasafiri kwenda mikoa ya Kaskazini nyakati za usiku zaidi hakika usiache kusimama kituo cha Mombo na kupata vitu hivi. Mchana zipo lakini sio kama usiku.

1 comment:

  1. AnonymousJuly 18, 2008

    Mambo yote Mkulima bwana Mitura

    ReplyDelete