KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 30, 2008
Rais amuaga Wangwe
Rais Jakaya Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mbunge wa Tarime , Chacha Wangwe, kwenye ukumbi wa bunge mjini Dodoma, Julai 29,2008. Kulia ni spika wa bunge Samwel Sitta.
No comments:
Post a Comment