July 14, 2008

Pendezesha nyumba yako

Mkazi wa jiji la Dar es Salaam, aliyejiajiri katika mradi wa utengenezaji wa vyngu vya kupandia maua Dawison Hamisi akipaka rangi moja ya mitungi hiyo katika ofisi yake iliyoko kandokando ya barabra ya Bagamoyo eneo la Kijitonyama mitungi hii haina bei maalum na huuzwa kuanzia tsh 20,000 na kuendelea kulingana na ukubwa wa mtungi.

No comments:

Post a Comment