July 14, 2008

Kwa Kekuu utapendeza


Duka hili lipo Kijitonyama Barabara ya Bahari Motos karibu kabisa na bar ya Sofani. Hapa mwana dada au mama ukiingia hukosi kupata ile kitu inapendezesha kichwa. Anauza Rasta na nywele za aina mbalimbali na vipodozi.

3 comments:

  1. AnonymousJuly 15, 2008

    Inapendeza, ujasiriamali safi dada tutakuja

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 15, 2008

    Sababu ya kutupa mgongo then uso unamaanisha nini haswa?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 15, 2008

    Mchaga huyo tena Machame

    ReplyDelete