KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
June 17, 2008
Somo la leo
Moja ya michoro inayozuia maambukizi ya Ukimwi iliyopo katika banda la Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) katika maonyesho ya wiki ya Utumishi wa Umma Mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment