June 15, 2008

mambo ya Idodomya

Mkazi wa Dodoma akichoma nyama katika mnada wa Nyama uliopo mjini humo. Ukifika mjini Dodoma na ukawepo hadi Jumamosi jitahidi ufike Mnadani upate nyama choma.

No comments:

Post a Comment