June 28, 2008

JK nchini Swaziland

Rais Jakaya Kikwete na Mjumbe wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama wa SADC,akijibu maswali ya waandishi wa habari baada ya kumalizika kwa mkutano wa siku moja Asasi hiyo uliofanyika katika Kasri ya Mfalme Lozitha nchini Swaziland Juni 25, 2008. Kulia ni Mfalme wa Mswati wa Swaziland aliyekuwa mwenyekiti wa kikao hicho.

1 comment:

  1. AnonymousJuly 01, 2008

    Anayeongoza kutoa Bikra za Mabinti- King Mswati mmmmh!!

    ReplyDelete