KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
June 20, 2008
Pinda bungeni
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Anna Abdallah (katikati) na Mbunge wa Lulindi, Suleiman Kumchaya (kulia) nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment