June 17, 2008

Hatari lakini Salama

Mkazi wa mjini Dodoma akipepeta ufuta katika ghala la chakula lililopo Uhindini mjini Dodoma huku mtoto wake mdogo akiwa pembeni jambo ambalo ni hatari kwa afya ya mtoto huyo kutokana na vumbi kali litokalo katika ufuta huo.

No comments:

Post a Comment