Bia ya Serengeti yashinda tuzo
Mzalishaji Mkuu wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti (SBL) Ralf Schulster na Meneja Habari wa SBL, Teddy Mapunda wakionyesha medali ya dhahabu pamoja na cheti ambacho bia yao ya Serengeti imeshinda kwa ubora katika tuzo za Kimataifa za Monde hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment