Nafasi Ya Matangazo

March 13, 2024

 
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko, ameshiriki Iftar iliyoandaliwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikulu Dar es Salaam.




********
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko, ameshiriki Iftar maalum iliyoandaliwa  na Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Ikulu, Jijini Dar es salaam (Leo tarehe 12 Machi, 2024)

Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini , viongozi wa vyama vya siasa na Taasisi mbalimbali. 

Waumini wa dini ya kiislamu nchini wameungana na waislamu wenzao kuanza funga ya mwezi mtukufu wa Ramadan
Posted by MROKI On Wednesday, March 13, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo