Nafasi Ya Matangazo

September 25, 2021

Afisa Masoko wa Tanesco Makao Makuu, Neema Mbuja akizungumza na wananchi wa Kiteto ambapo aliwataka kuhakikisha wanawatumia wakandarasi waliosajilliwa ili kiuwawekea mifumo ya utandazaji wa umeme majumbani kwao.
Mwenyekiti wa Kijiji cha Nathi, Mamnyaki Ikoneti akizungumza na wananchi wake wakati wa Mkutano wa kutoa Elimu juu ya miradi ya umeme. Kulia ni Afisa Masoko wa Tanesco, Neema Mbuja na kushoto ni Mtedaji wa Kijiji hicho, Martin Feo.
Mwananchi akizungumza katika hadhara hiyo.

picha ya pamoja Kati ya Maofisa wa Tanesco na wananchi.
Afisa Huduma kwa Wateja mkoa wa Manyara,Magdalena Busongo akizungumza.
*******
Shirika la umeme Tanzania TANESCO kupitia kitengo chake Cha masoko, nimeanza kampeni ya kutoa elimu na kuwahamasisha wananchi kuchangamkia fursa ya uwekaji wa umeme kwenye maeneo yao kupitia miradi ya REA awamu ya III mzunguko wa II.

Wakizungumza wakati wa zoezi la utoaji wa elimu hiyo kwa mkoa wa Manyara wilaya ya Kiteto,  Afisa masoko bi Neema Mbuja amewataka wanavijiji walioko kwenye wilaya ya kiteto kuhakikisha wanawatumia wakandarasi waliosajilliwa ili kiuwawekea mifumo ya utandazaji wa umeme majumbani kwao ili kuepuka madhara yatokanayo na kazi zinazofanywa na makandarasi feki.

Vijiji ambavyo vimeshapatiwa elimu no pamoja na engangongare, orkitikiti, mesera, Asamatwa, Olgira,  Loltepesi
Posted by MROKI On Saturday, September 25, 2021 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo