Nafasi Ya Matangazo

September 27, 2021

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo Sept 27,2021.

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika jijini Dodoma, leo Septemba 27.Benki ya CRDB ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Viongozi wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo Sept 27,2021.Benki ya CRDB ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan wakati akifungua mkutano huo uliofanyika jijini Dodoma, leo, Septemba 27. Benki ya CRDB ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo.
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na meza Kuu na wafanyakazi wa Benki ya CRDB baada ya kuifungua Mkutano mkuu wa ALAT jijini Dodoma leo. Benki ya CRDB ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo.
Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) uliofanyika jijini Dodoma, leo Septemba 27. Benki ya CRDB ni Moja ya wadhamini wa Mkutano huo.



Posted by MROKI On Monday, September 27, 2021 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo