Nafasi Ya Matangazo

November 20, 2016

Wahitimu katika mahafali ya 9 ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) wakiwa katika mahafali hayo mwishoni mwa wiki ambapo walitunikiwa Shahada zao za Elimu walizotunukiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete.
 Wahitimu hao wakifanya mawasiliano na jamaa zao.
 Wahitimu wakisubiri kutunukiwa Shahada zao. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.


 Wahitimu wakivishana majoho.
 Wahitimu wakisubiri nondo zao.
 Ndugu jamaa na marafiki wakiwa katika sherehe hiyo ya mahafali.
Wauzaji wa mashada ya maua nao walikuwepo.
Posted by MROKI On Sunday, November 20, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo