Nafasi Ya Matangazo

November 26, 2016

Maharusi Evance Ngingo na mkewe Anneth Gujwire wakiwa wenye furaha baada ya wawili hao kufunga ndoa jana katika Kanis Katoliki la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam na kufuatiwa na tafrija iliyofanyika ukumbi wa Kardinali Rugwambwa, Oysterbay jijini humo. 

Production by: MD Digital Company +255 755373999/+255 717002303 Dar es Salaam.
 Bi harusi  Anneth akiwa salon
 Biharusi akitoka Salon chini ya ulinzi mkali
 Kanisa Katoliki la Mt Joseph Dar es Salaam ambalo Maharusi wamefungia ndoa leo
 Pete za Maharusi.
 Evance (kati) akiwa na Baba yake Mzee Ngi'ingo (kushoto)
 Best Man akifanya yanayopasa kufanya
 Nifuraha tu kwa Evanve na Anneth. 
BOFYA HAPA KUONA MATUKIO ZAIDI.
 Kuna muda bwana harusi kama alikuwa haamini hivi kuwa siku ndo leo....
 Hatimaye ndoa ikafungwa ....
 Munaonaaaaaa....
 Raha tuuuu
 Sakrament takatifu ya ndoa ikaliwa ...


Picha mbalimbali za familia zilipigwa baada ya kutoka Kanisani.
Posted by MROKI On Saturday, November 26, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo