Nafasi Ya Matangazo

August 28, 2016

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Kata ya Vingunguti, Omary Kumbilamoto (katikati) akimkabidhi funguo ya gari la wagonjwa Mganga Mkuu wa Zahanati ya Vingunguti, Chiku Simba, wakati wa makabidhiano maalum ya gari hilo alilolinunua kwaajili ya kuhudumia wakazi wa Vingunguti. Kushoto ni Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia.
Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala na Diwani wa Kata ya Vingunguti, Omary Kumbilamoto (katikati) akiwa na viongozi wengine baada ya kukabidhi gari la wagonjwa kwa Zahanati ya Vingunguti. Kulia ni Mganga Mkuu wa Zahanati ya Vingunguti, Chiku Simba na  Kushoto ni Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia.
Naibu Meya wa Ilala na Diwani wa Kata ya Vingunguti, Omary Said Kumbilamoto akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya kukabidhi gari lenye thamani zaidi ya  sh milioni 18. 

Kumbilamoto aliwataka kulitunza gari hilo na kuhakikisha kua linakaa katika Zahanati hiyo na kuhudumia wananchi wa Vingunguti na maeneo jirani. 
Mbunge wa Kinondoni ambaye ndiye alikua Mgeni Rasmi, Maulid Mtuliya akizungumza na kumpongeza Naibu Meya Kumbilamoto kwa kazi hiyo nzuri ya kutatua kero za wananchi na kufanya siasa za maendeleo.
Mganga Mkuu wa Zahanati ya Vingunguti, Chiku Simba akizungumza.
Wauguzi wakifuatilia hafla hiyo.
Gari hilo la wagonjwa.
Wakazi wa Vingunguti.
Zahanati ya Vingunguti.
Posted by MROKI On Sunday, August 28, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo