Nafasi Ya Matangazo

August 29, 2016

 WP 7627 PC Sharifa Ismaili, Polisi Konsitebo wa Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, akikabidhi mipira kwa moja ya timu zilizofanikiwa kuibuka na ushindi kwenye michezo ya MPINGA CUP 2016, makundi raundi ya kwanza kutoka kundi C iliyofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kitunda, Lengo la Mashindano haya ni kutoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa madereva wa Pikipiki ususani waendesha Boda Boda katika mkoa wa Dar es Salaam.
 WP 7627 PC Sharifa Ismaili, Polisi Konsitebo wa Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, akigawa vipeperushi kwa moja ya timu zilizoshiriki kwenye michezo ya MPINGA CUP 2016, makundi raundi ya kwanza kutoka kundi C iliyofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kitunda, Lengo la Mashindano haya ni kutoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa madereva wa Pikipiki ususani waendesha Boda Boda katika mkoa wa Dar es Salaam.
 Mkaguzi wa Polisi Aghata Mashayo akizikagua timu za kundi C zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kitunda Shule ya Msingi siku za Jumamosi na Jumapili, Lengo la Mashindano haya ni kutoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa madereva wa Pikipiki ususani waendesha Boda Boda katika mkoa wa Dar es Salaam.
 Staff Sajent wa Polisi, Enock Machunde akifundisha jambo kwa madereva wa Boda boda wakati wa michezo ya Mashindano ya MPINGA CUP 2016 kundi C zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kitunda Shule ya Msingi siku za Jumamosi na Jumapili, Lengo la Mashindano haya ni kutoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa madereva wa Pikipiki ususani waendesha Boda Boda katika mkoa wa Dar es Salaam.
 
 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Eric Ndidi akifundisha kuzijua Alama za Barabarani kwa wachezaji wa  timu za kundi C kabla ya kuingia uwanjani kwenye Uwanja wa Kitunda Shule ya Msingi siku za Jumamosi na Jumapili, Lengo la Mashindano haya ni kutoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa madereva wa Pikipiki ususani waendesha Boda Boda katika mkoa wa Dar es Salaam.
Staff Sajent wa Polisi, Enock Machunde akikabidhi Mpira kwa timu za Waendesha Piki Piki (Boda boda) wakati wa michezo ya Mashindano ya MPINGA CUP 2016 kundi C zilizofanyika kwenye Uwanja wa Kitunda Shule ya Msingi siku za Jumamosi na Jumapili, Lengo la Mashindano haya ni kutoa Elimu ya Usalama Barabarani kwa madereva wa Pikipiki ususani waendesha Boda Boda katika mkoa wa Dar es Salaam. (Picha na Traffic Makao Makuu). 


RATIBA YA MASHINDANO YA BODABODA KUNDI D:
Uwanjani Chuo cha Walemavu KiwalaniTarehe 3/9/2016.
     
      1. Mafundi Fc Vs PANDA KIWALANI F.C
2. BOMBOM F.C vs KIJIWE SAMLI KIWALANI
3.YOMBO HOSPT.KIWALANI vs MORNING STAR KIWALANI
4. KIPAWA FC vs KIPAWA SHELI FC
5. VINGUNGUTI SCANIA vs KIZOTA F.C VINGUNGUTI
6. MORNING STAR F.C vs WASHAWASHA F.C
7. KIWALANI BEACH F.C vs BODABODA GARDEN

KAtikaUWanjahuohuotarehe 4/9/2016
1. VINGUNGUTI RELINI vs MAZIZI F.C
2. MTI PESA vs MASHUJAA F.C
3. TABATA DARAJANI F.C vs BALAKUDA HIGHLAND FC
4. GOGOVIVU F.C vs BODABODA F.C
5. MANDEZE F.C vs YOMBORELI F.C
6. VIPAJI FC vs GOLAN F.C
Posted by MROKI On Monday, August 29, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo