Nafasi Ya Matangazo

December 16, 2015

LEO Mbunge wa jimbo la Nzega mkoani Tabora, Hussein Bashe alizuru Stendi Kuu ya Mabasi na  kukutana na vikundi tofauti vya akina mama wa wafanyabiashara ndogondogo. 

Ofisi ya Mbunge imewataka kuanzia umoja wao haraka na kuwawezesha na fedha za kufungilia akaunti benki na watapewa elimu ya ujasiriamali ili waweze kujiendesha kifaida
Posted by MROKI On Wednesday, December 16, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo